Breaking News

Tuesday, September 11, 2012

HABARI KUTOKA KWENYE MTANDAO YA KIJAMII


Kaka Zao tunatafuta member walika zote ambao watakua wanapata taarifa zetu zote zitakazo husiana na mipingo yetu...sifa za mamember 1:asiwe msaliti 2:awe mzalendo 3:awe nimwenye kujiamini kulinda nakutetea maswala yote yanayo husiana na kaka Zao 4:awe nimwenye uwezo waushawishi wa Hali na mali katika kuakikisha uwepo Wakaka Zao niuwepo wakudumu na wenye kuheshimika 5:awe nimwenye kuelewa maana na umuhimu wakua member Wa kaka Zao.tafadhari kwa watakao kuwa tayari aniandikie kwenye inbox yangu aambatanisha na number yako ya simu...jah bless u all
https://www.facebook.com/hardmadkidume.mkushi

No comments:

Designed By VungTauZ.Com