Breaking News

Thursday, July 8, 2010

KANUMBA NDANI YA MOVIE MPYA.... MORE THAN PAIN

Mzee mzima ndani ya matayarisho ya filamu mpya itakayokwenda kwa jina la More than pain.. humo utakuna na Kanumba mwenyewe, Rose Ndauka, Tino na Lisa Jensen. ebwana kaa mkao wa kula movie itakua blaaaa.

No comments:

Designed By VungTauZ.Com