Breaking News

Thursday, July 8, 2010

UMEISIKIA HII KAMA HUJAISIKIA HABAFARI NDO HII HAPA....

Wakali wa tuzo za kili kwa takribani miaka mitatu mfululizo Mzee Yusuph na Chid Benz wanataka kufanya bonge moja la kolabo sema jina la nyimbo yenyewe bado lipo kapuni soon i hope litakuwa hewani stay tune mtu wangu.hapa mtoto wa Ilala hapa Mzee wa Dubai

No comments:

Designed By VungTauZ.Com