Welcome to the Blog which serves News, Events, entertainment, fashion and lifestyle gists faster than Usain Bolt..lol..It's Hot..its Fresh..it's Original..
Breaking News
Thursday, December 18, 2014
PICHA: EX WA SUGU ATUNGA NA PAMPERS KWENYE SHEREHE YAKE YA KUZALIWA (BIRTHDAY)
Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya
kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi
aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuvaa
diapers!!
Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake!!
No comments:
Post a Comment