SEHEMU YA 15:
Cheche
anakutana na maamuzi magumu sana toka kwa “mmiliki” mpya wa studio ya
Mtungi. Shalima hato salimu amri. Inaonekana Cheche amekamatika kwa
Shalima na kua mwenza katika biashara. Kwa upande wa mke wake, Cheusi,
umekua muda mwafaka wa kulipwa kwa mabaya yote, amechoshwa na hali ya
mumewe kuto kua mwaminif., Siku alipo kutana na mwanamke asie na aibu
Lulu, Cheche alikua mpole sana na kusinyaa. Anaamua kuondoka na kuamua
kuanza kufanya mambo yake mwenyewe kwa ajili ya kupta mabadiliko. Na
kumwacha Cheche ajikomboe mwenyewe. Ufufuko wa Nusura kwa mpenzi wake wa
zamani Duma unaibua penzi jipya linalo mfanya Duma kumng’ang’ania
Nusura na kutotaka kumwacha anajiweka karibu na kumsahau mdogo wake
Stephen na kumfanya anajikita na maisha ya kiovu.
SEHEMU YA 16:
Duma
anajipatia kipato kidogo sana kwa kazi yake ya DJ kwenye Hoteli ya hali
ya chini sana, anagombana na utawala wa Hoteli na kuamua kujiingiza
kwenye shughuli ya kutafuta pesa za haraka. Anajingiza kwenye biashara
ya madawa ya Kulevya akishirikiana na Golden. Mpaka wa maadili
unasogezwa mbali zaidi baada ya Duma kumfanya mdogo wake aige vitendo
viovu. Nusura anakimbia unyanyaswaji wa nyumbani kwa Mzee Kizito na
kuamua kwenda Nyumbani kwa mama yake Sophia. Huko anapata hamasa ya
ajabu toka kwa binti jirani yao mwenye akili na shujaa jinsi alivyo ishi
na mwanae. Wakati huo huo Cheche anapata kazi ya nje ya kurekodi video
ya siku ya Ngoma zakumtoa mwali yeye na “msaidizi” wake Shoti wanakumbwa
na balaa baada ya kumvamia binti mdogo na wapekee wa Big mama.
Credit: www.jestina-george.com

No comments:
Post a Comment