Breaking News

Thursday, July 14, 2016

PICHA 15: Watu zaidi ya 70 wauawa ufaransa, Lori latumika katika shambulio


Kwenye vyombo vya Habari vya kimataifa, habari inayomake headline sasa hivi ni taarifa ya zaidi ya watu 70 kuuawa katika shambulio lililotokea katika mji wa Nice kaskazini mwaUfaransa.
Taarifa zinasema shambulio hilo lilitokea baada ya lori lililokuwa likienda mwendo kasi kuingia katika mkusanyiko wa watu waliokuwa wakiangalia maonesho ya fataki katika kuadhimisha siku ya kitaifa ya Bastille ambayo huja na shamrashamra kila mwaka.
Imeelezwa kuwa lori hilo liliendelea kutembea kilomita mbili kabla ya polisi kumpiga risasi dereva aliyekuwa akiendesha lori hilo. Aidha bunduki na makombora yameripotiwa kukutwa ndani ya lori hilo. Wakazi wa mji huo wa Nice wameshauriwa kutulia majumbani.
364A0FDA00000578-3691019-image-a-98_1468543798977 364A3B9700000578-3691019-image-a-111_1468547516510 364A4F7F00000578-3691019-image-a-112_1468547680358 364A57C300000578-3691019-image-a-124_1468550707523 364A733500000578-3691019-image-a-120_1468550578086 364A813300000578-3691019-image-a-116_1468550405073 3648FFDF00000578-3691019-Fireworks_were_filling_the_night_sky_as_the_drama_unfolded_as_th-a-30_1468535388859 3649A59E00000578-3691019-image-a-46_1468537434987 3649C68C00000578-3691019-image-a-73_1468539053382 3649C34C00000578-3691019-image-a-77_1468539187106 3649FEF500000578-3691019-image-a-105_1468545631380 3649FF6900000578-3691019-image-a-104_1468545575764 (1) 36499E7400000578-3691019-image-a-42_1468536880151 3649FF6900000578-3691019-image-a-104_1468545575764 364998DE00000578-3691019-image-a-61_1468538190869
Chanzo: millardayo.com

No comments:

Designed By VungTauZ.Com