Breaking News

Thursday, July 14, 2016

Picha 5 za Mbunge Zitto Kabwe kufunga ndoa…

Ni July 14, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyikaZanzibar.
Hapa nina picha 5 za kutoka kwenye eneo la tukio hilo
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Designed By VungTauZ.Com