Breaking News

Tuesday, July 12, 2016

Video: Kidogo – Diamond Platnumz ft P’square

13603475_1156378577717288_2593918672412395190_o

Diamond Platnumz ameachia kolabo yake ya wimbo ‘Kidogo’ aliyowashirikisha wasanii wa kundi la P’square kutoka Nigeria. Wimbo umeandaliwa na Laizer kutoka Wasafi Records na video imeandaliwa na Godfather kutoka Afrika Kusini.

No comments:

Designed By VungTauZ.Com